Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa
kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi (Diplomatic Sherry Party)
Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Januari, 2025.
Mabalozi
wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja na Wawakilishi wa
Mashirika ya Kimataifa wakiwa kwenye Sherehe za Mwaka Mpya kwa Mabalozi
hao (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 14
Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na Mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini Tanzania pamoja
na Wawakilishi wa Mashirika ya Kimataifa katika Sherehe za Mwaka Mpya
kwa Mabalozi hao (Diplomatic Sherry Party) Ikulu Jijini Dar es Salaam
tarehe 14 Januari, 2025.