Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambapo kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waiohudhuria katika Mkutano na Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem kuzungumzia Kikao cha Bajeti ambacho kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Nipashe Rahma Suleiman akiuliza maswali katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambacho kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Mwandishi wa Habari wa Gazeti la Mwananchi Jesse Mikofu akiuliza maswali katika Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambacho kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
Afisa Habari wa Habari Maelezo Sabiha Khamis akifuatilia Mkutano wa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambacho kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
PICHA NO-6533-Katibu wa Baraza la Wawakilishi Raya Issa Mselem akisisitiza jambo wakati akijibu Maswali ya Waandishi wa Habari waliouliza kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambapo kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
PICHA NO-6540-Mkurugenzi wa Shughuli za Baraza la Wawakilishi Othman Ali Haji akifafanua jambo wakati akijibu baadhi ya Maswali yalioulizwa na Waandishi wa Habari kuhusiana na Kikao cha Bajeti ambapo kitaanza Tarehe 7 Mey na kinatarajiwa Kumalizika 20 June,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza hilo Chukwani Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.05/05/2025.