Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza na Mgonjwa wa nje katika hospitali ya wilaya ya Nachingwea, Evodia Alphonce aliyeempakata mwanae Ivan Chiwele wakati alipotembelea hospitali hiyo akiwa katika ziara ya Mkoa wa Lindi, Desemba 21, 2025. Kushoto kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack na wa tatu kushoto ni Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwajulia hali wagonjwa alipotembelea Hospitali ya Wilaya ya Nachingwea, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Dkt, Mwigulu Nchemba akizungumza na Naibu Waziri wa Afya, Dkt. Florence Samizi (kushoto), Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack (wa pili kushoto) na Muuguzi Kiongozi wa Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya wilaya ya Nachingwea Dennis Mnamwambe (wa tatu kushoto) baada kukagua maendeleo ya ujenzi wa Chuo cha Uuguzi na Ukunga Nachingwea, Desemba 21, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)







