DODOMA: Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Dk Charles Msonde, amesema Serikali inaendelea kuchukua hatua za haraka kuimarisha usalama barabarani kwa kuboresha usanifu wa miundombinu, kuimarisha utekelezaji wa sheria, pamoja na kuwajengea uwezo wataalamu ili juhudi hizo ziweze kuleta matokeo chanya kwa watumiaji wote wa barabara. Dk Msonde ametoa kauli hiyo mkoani Dodoma Februari





