0 Comment
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Albert Chalamila ameitaka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kuweka mikakati madhubuti na kutafuta suluhisho la kudumu dhidi ya changamoto ya upungufu wa maji katika Mto Ruvu hususani katika kipindi kirefu cha ukosefu wa mvua. Amesema kwa kuwa changamoto hii ya upungufu Read More











