0 Comment
Katika kuhakikisha taifa linapata viongozi bora wa kesho, taasisi zisizo za kiserikali za HakiElimu na The African Leadership Initiative For Impact (ALI For Impact) zimezindua programu maalum ya kuwawezesha vijana walioko mashuleni kupata maarifa na ujuzi wa uongozi. Mpango huu mpya unalenga kuwa chachu ya mabadiliko kwa kuwapa wanafunzi nafasi ya kutambulika, kuendelezwa na hatimaye... Read More