0 Comment
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Waziri wa Madini Mhe Anthony Peter Mavunde ametoa Rai kwa Wawekezaji wote kwenye Sekta ya Madini Nchini kuendelea kuzingatia matakwa ya Sheria ya Madini,Sura 123 na kuahidi Wizara hiyo kuendelea kuwapa ushirikiano wawekezaji hao. Waziri Mavunde ameyasema hayo mapema Leo hii Jijini Dodoma Aprili 23,2025 wakati akizungumza na Waandishi wa... Read More