0 Comment
-Aelekeza RC, Mawaziri wawili kulipa fidia Nyatwali – Bunda Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, amewataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya wanasiasa wanaojaribu kuhatarisha haki, amani na utulivu wa nchi, huku Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 ukikaribia kwa miezi mitano tu. Akizungumza na wananchi wa Bunda leo Jumanne, tarehe... Read More