Taasisi ya GH Foundation imefanikiwa kufanya warsha ya kuwajengea uwezo askari polisi, Maafisa ustawi wa jamii, waandishi wa habari na viongozi wa dini katika Kupambana na Ukatili wa Kijinsia. Gifted Heart Foundation inayoongozwa na Godlisten Malisa iliwajengea uwezo huo kupitia warsha iliyofanyika wiki iliyopita katika ukumbi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, jijini Dar es... Read More
Na Mwandishi Wetu, Dodoma Ikiwa leo ni siku ya mwisho ya kujadiliwa kwa bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) wananchi mkoani Dodoma wamejitokeza kutoa maoni yao kuhusu bajeti hiyo kwa mwaka wa fedha 2025/2026 yenye kiasi cha shilingi bilioni 11.7. Akizunguzmia bajaeti hiyo mkazi wa Dodoma Bi Maria... Read More
Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Baadhi ya Viongozi kutoka taasisi mbalimbali pamoja na waliowahi kushinda taji la Miss Tanzania kwa nyakati tofauti na waombolezaji wakiwa wamewasili nyumbani kwa aliyekuwa Mratibu wa Mashindano ya Miss Tanzania Hashim Lundenga. Balozi wa Tanzania nchini Swedeni Mheshimiwa Mobhare Matinyi akiwasili na kusaini kitabu cha Maombolezo nyumbani kwa Marehemu Hashim Lundenga leo Aprili 21,2025 Mbweni... Read More
Kaimu Mkuu wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere John Baytani Mwakilishi wa wahitimu wa mafunzo hayo ya vijana Father John Mtwale kutoka Jimbo Katoliki la Mwanza Na Khadija Kalili ,Kibaha MKUU wa Wilaya ya Temeke Sixtus Mapunda amewataka Wakuu wa Idara na Taasisi mbalimbali nchini kutumia Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere... Read More
Umoja wa Waendeshaji Bajaji, Bodaboda na Wajasiriamali jijini Dar es Salaam, umetangaza kutoshiriki maandamano yaliyoitishwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) yaliyopangwa kufanyika Aprili 24, 2025, kuelekea Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, ambako kesi ya Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu, inatarajiwa kusikilizwa. Makamu Mwenyekiti wa Wajasiriamali Wadogo nchini, Steven Lusinde, ametoa tamko... Read More
Na Diana Byera,Missenyi. Jumla ya Milioni Tatu zinashindaniwa katika Mashindano ya mpira wa miguu yaliyoandaliwa na Mbunge wa Jimbo la Nkenge wilaya Missenyi mkoani Kagera ambayo yatashirikisha timu 20 kutoka katika wilaya hiyo. Mashindano hayo yenye jina la Dk.Samia Na Kyombo yanalenga kuwakunsanya vijana wa wilaya ya Missenyi ili kuibua vipaji vya vijana wanaoishi vijiji... Read More
• TZS milioni 7.5 zimetolewa kama zawadi kwa wateja 15 waliotumia Visa Debit Card zao kwa miezi mitatu • Washindi wengine watano wajishindia TZS 500,000 kila mmoja katika droo ya mwisho ya mwezi • Mshindi wa gari jipya aina ya Suzuki Fronx kutangazwa siku chache zijazo Dar es Salaam, Tanzania – Ijumaa, 19 Aprili 2025:... Read More
Katibu Mkuu wa Viwanda na Biashara Dkt Hashil T. Abdallah na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Dkt. Said S. Mzee wameongongoza Kikao cha Makatibu Wakuu wa sekta za Utalii, Elimu, Afya, Habari na Utamaduni, Uchumi wa Bluu, Miundombinu za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusu Maandalizi ya Expo 2025 Osaka... Read More