0 Comment
Na Khadija Kalili BALOZI wa Tanzania nchini Sweden, Mhe. Mobhare Matinyi, amesema kuwa atatumia uzoefu alioupata katika kazi yake ya uandishi wa habari kutafuta taarifa na kung’amua mbinu za kuvutia watalii wengi kama ilivyo katika nchi hiyo ambayo inavutiwa na kutembelewa na watalii wengi. “Nitakapofika katika nchi hizo tisa katika eneo langu la uwakilishi nitahakikisha... Read More