0 Comment
TAARIFA RASMI KUTOKA CHAMA CHA NLDAPRILI 18, 2025, MABADILIKO YA NEMBO NA BENDERA YA CHAMA, NI HATUA YA KIHISTORIA KWA NLD. Chama cha National League for Democracy (NLD) kinapenda kuwataarifu wanachama, wafuasi na wananchi kwa ujumla kuwa, kufuatia Mkutano Mkuu Maalum uliofanyika tarehe 10 Aprili 2025, wajumbe wa mkutano huo kwa kauli moja waliridhia mapendekezo... Read More