0 Comment
Na Belinda Joseph, Ruvuma. Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Songea (SOUWASA) imetoa pongezi kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Ruvuma kufuatia kukamatwa kwa watuhumiwa wawili waliodaiwa kuhusika na wizi wa mita za maji na vifaa vingine vya miundombinu ya maji, mali ya mamlaka hiyo. Akizungumza na waandishi wa habari, Mkurugenzi Mtendaji wa... Read More