0 Comment
Wanajeshi wapatao 75 nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo watapandishwa kizimbani leo, kwa kukimbia mapigano baada ya waasi wa M23 wanaoungwa mkono na Rwanda kusonga mbele katika jimbo la mashariki la Kivu Kusini. Taarifa iliyotolewa Jumapili na ofisi ya mwendesha mashtaka wa kijeshi ilisema kuwa askari hao pia wanashitakiwa kwa vurugu dhidi ya raia, ikiwa... Read More