0 Comment
MKUU wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema ili nchi iendelee kuboresha miradi mbalimbali yenye kuleta maendeleo kwa Taifa letu ni vema kila mtu akatimiza wajibu wake wa kulipa kodi kwa kiasi kinachostahili bila kuangalia kuwa huyu ni tajiri au masikini Amesema suala la kulipa kodi ni la lazima kwani inasaidia nchi kutengeneza... Read More