0 Comment
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Imeelezwa kuwa vijana awamu ya pili wa mradi wa Jenga kesho iliibora (BBT),wanatarajia kuzalisha tani zaidi 8400 za mbegu bora ya mahindi aina ya C105 katika ekari 4,200 za shamba la Ndogoye lililopo wilayani Chamwino mkoani Dodoma. Mkurugenzi Msaidizi Mipango na Bajeti wa Wizara ya Kilimo Mohamed Chikawe ameyabainisha hayo... Read More