0 Comment
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amemuaga Balozi wa Japan nchini, Mhe. Yasushi Misawa anayetarajia kumaliza muda wake wa uwakilishi Januari 17, 2025. Mhe. Kombo ameishukuru Japan kwa kuwa miongoni mwa wadau wanaosaidia kufanikisha Miradi ya Maendeleo hapa nchini katika sekta mbalimbali ikiwemo miundombinu, biashara, afya,... Read More