0 Comment
WAZIRI wa Viwanda na Biashara Mhe.Dkt.Selemani Jafo, akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es salaam wakati akitangaza timu ya watu 15 kwa ajili ya kutatua changamoto mbalimbali zilizopo katika Soko la Kariakoo ili kuliwezesha kufanya kazi kwa ufanisi. ………. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Dkt. Selemani Jafo ameunda Timu ya watu 15 kwa... Read More








