0 Comment
Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia, na Habari, Jerry Silaa, amesema kuwa serikali imekamilisha ujenzi wa Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano unaounganisha Tanzania na Kenya kupitia Horohoro hadi Mombasa, Kenya. Mkongo huo pia umeunganishwa na mikongo ya mawasiliano ya chini ya bahari kupitia Dar es Salaam. Akizungumza Januari 23, 2025, wakati wa ziara ya kikazi iliyolenga kukagua... Read More











