0 Comment
Na Mwandishi Wetu KATIKA kuhakikisha elimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) inatolewa kwa viwango vya kisasa, Tume ya TEHAMA nchini imehakiki mitaala 21 katika vyuo mbalimbali nchini. Uhakiki huo, kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga, unaangalia kama mitaala hiyo imetatua ombwe lililokuwepo kwa kutokuwepo kwa wataalamu wa... Read More










