0 Comment
DAR ES SALAAM NA JOHN BUKUKU Marais 25 wa Nchi za Afrika, pamoja na Mawaziri wa Fedha na Nishati zaidi ya 60, wanatarajiwa kushiriki Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi za Afrika uliopangwa kufanyika Januari 27-28, 2025, jijini Dar es Salaam. Mkutano huo unalenga kujadili masuala mbalimbali, ikiwemo kusaini mkataba wa kuwezesha kusambaza umeme... Read More











