0 Comment
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Kanda ya Ziwa Imelda Banali akizungumza kwenye semina ya wahariri,waandishi na watangazaji wa vyombo mbalimbali Jijini Mwanza ……….. Na Hellen Mtereko, Mwanza Mkoa wa Mwanza umetajwa kuwa Mkoa wa pili Kitaifa kwakuwa na idadi kubwa ya laini za simu hatua inayopelekea kuchochea ongezeko la uchumi. Hayo yameelezwa Leo Jumanne Januari... Read More










