0 Comment
NIDA YARUHUSU NDUGU JAMAA KUCHUKULIANA KITAMBULISHO CHA TAIFA, YAWATOA HOFU WANANCHI KUFUNGIWA NAMBA
Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo Januari 21,2025. kuhusiana na masuala mbalimbali ya Vitambulisho vya Taifa. MAMLAKA ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imeruhusu kuchukuliana kitambulisho cha Taifa na mtu mwingine ambaye mhusika atamwomba amchukulie. Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mkuu wa NIDA, James Kaji wakati... Read More











