Mwenyekiti wa tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji wa Rufani, Mhe. Jacobs Mwambegele akifungua mafunzo ya siku mbili kwa Waratibu wa Uandikishaji wa mkoa, Maafisa Waandikishaji, Maafisa Waandikishaji Wasaidizi ngazi ya Jimbo, Maafisa Uchaguzi, Maafisa Ugavi na Maafisa TEHAMA wa halmashauri yaliyoanza leo tarehe 17 hadi 18 Januari, 2025 Mkoani Mtwara ambapo amewataka... Read More
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam aahidi suluhu ya changamoto za uvamizi na huduma za msingi Dar es Salaam, Januari 17, 2025 – Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mheshimiwa Albert Chalamila, amefanya ziara katika kiwanda cha saruji Wazo Hill kilichopo Wilaya ya Kinondoni ili kushughulikia changamoto zinazolikumba kiwanda hicho. Ziara hiyo imekuja... Read More
Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, Wakili Julius Mtatiro, akizungumza kwenye mkutano wa wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga. Na Kadama Malunde – Malunde 1 blog Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi imefanya mkutano na wadau wa masuala ya kodi Mkoa wa Shinyanga kwa lengo la kukusanya maoni kuhusu uzoefu, changamoto na mapendekezo ya... Read More
Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Manispaa ya Songea(Souwasa)Mhandisi Vicent Bahemana kulia,akionyesha mchoro wa mradi huo kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea wakiongozwa na Mwenyekiti wake Mwinyi Msolomi aliyevaa kaunda suti wakati wa ziara ya wajumbe hao walipotembelea mradi huo jana. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini mkoani Ruvuma Mwinyi Msolomi katikati na katibu wa Chama hicho James Mgego kushoto, wakikagua tenki la kuhifadhi maji lita milioni 2 eneo la Chandamali linalojengwa kupitia mradi wa maji wa miji 28 katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma,kulia msimamizi wa mradi huo kutoka Mamlaka ya maji na usafi wa mazingira Songea(Souwasa) Mhandisi Vicent Bahemana. Msimamizi wa mradi wa maji wa miji 28 unaotekelezwa katika Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma kwa gharama ya Sh.bilioni 145.77 Mhandisi Vicent Bahemana,akitoa ufafanuzi kwa wajumbe wa kamati ya Siasa ya Chama cha Mapinduzi wilaya ya Songea mjini, kuhusu maendelea ya ujenzi wa mradi huo baada ya wajumbe hao kufika eneo la Mahiro ambako kunatarajia kujengwa tenki kubwa la kuhifadhi lita milioni 5 za maji.
RAIS Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Tawala za Mitaa Tanzania (ALAT), utakaofanyika mwezi Februari mwaka huu Jijini Mwanza. Mwenyekiti wa ALAT,Taifa Murshid Ngeze, alibainisha hayo jijini Dodoma wakati akifungua kikao cha Kamati tendaji kwa ajili ya kujadili ajenda mbalimbali ikiwemo mkutano mkuu wa mwaka wa Jumuiya hiyo.... Read More
Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Kinondoni Kusini Mhandisi Florence Mwakasege (wa kwanza kushoto) akitoa maelekezo kwa fundi umeme leo Januari 17, 2025, Dar es Salaam akiwa katika ziara ya kukagua utengenezaji wa miundombinu ya umeme katika Kata ya Kimara baada nguzo ya umeme kuanguka katika barabara ya njia panda ya malamba... Read More
Na Said Mwishehe NGOJA nikwambie kitu mtu wangu ingawa najua itakuwa unafahamu kwamba Chama Cha Mapinduzi(CCM) Januari 18 hadi 19 mwaka huu wa 2025 kinafanya mkutano mkuu maalum. Tufanye hivi ajenda zinaweza kuwa zaidi ya mbili au tatu lakini unachotakiwa katika akili yako ni ajenda kuu ya mkutano huo ni kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti... Read More
CCBA in Tanzania leaders with Top Employer award: left to right – Emmanuel Kyarwenda ,Fatma Mnaro Jonathan Jooste ,Scolastika Augustine, Haji Ali, Hassan Waziri and Salum Nassor ………… Dar es Salaam, 17 January 2025 Coca-Cola Beverages Africa (CCBA) in Tanzania has been recognized as one of only eight companies in Tanzania certified as Top Employers... Read More
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM Taifa) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Jijini Dodoma tarehe 17 Januari, 2025.