0 Comment
NA FAUZIA MUSSA BALOZI wa Vijana Zanzibar, Mohammed Kassim Mohammed, maarufu kama Prince Eddycool, amewahimiza vijana kuwa wabunifu na kuanzisha miradi ya kiuchumi ili kujiajiri na kujiongezea kipato. Akizungumza wakati alipotembelea miradi ya kilimo ya vijana wa Baraza la Vijana Shehiya ya Miwani, Wilaya ya Kati, Prince Eddycool alisema Serikali inatoa msaada mkubwa kwa miradi... Read More








