0 Comment
Mkuu wa mkoa wa.Arusha Paul Makonda akipata maelezo kuhusu ujenzi wa jengo hilo alipofanya ziara yake hivi leo Meya wa jiji la Arusha Maxmilian Iranghe akitoa maelezo kuhusu ujenzi wa jengo hilo. Happy Lazaro,Arusha . .Mkuu wa mkoa wa Arusha Paul Makonda ameutaka uongozi wa halmashauri ya jiji la Arusha kuhakikisha wanawapa kipaumbele wazawa wa... Read More











