0 Comment
Happy Lazaro,Arusha . WAZIRI wa Fedha Mwigulu Nchemba ameiagiza Mamlaka ya Mapato Tanzania{TRA} kuacha kuwahurumia na kuwa wakali kwa wafanyabiashara sugu wanaokwepa kulipa kodi ya serikali kwa makusudi bila kubugudhi biashara zao. Nchemba ameyasema hayo Jijini Arusha wakati akifungua Mkutano wa watendaji wakuu wa TRA Nchini mkutano uliohudhuriwa na Wakuu wa idara ,Wakurugenzi TRA Makao... Read More










