0 Comment
NA DENIS MLOWE, IRINGA JUMLA ya timu 120 zinatarajiwa kushiriki mashindano ya soka yanayojulikana kwa jina la Vunjabei Cup 2025 yatakayozinduliwa rasmi Januari 11 mwaka huu katika viwanja tofauti. Akizungumza na wanahabari, Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Vunjabei Fadhil Ngajilo alisema kuwa awali yalifahamika kama Ngajilo Cup, sasa yameboreshwa kwa kiwango kikubwa, ambapo zawadi ya... Read More











