Mabondia Kassim Mbundwike na Ezra Paulo wamefanikiwa kushinda mapambano yao ya fainali za President Cup nchini Comoros usiku wa kuamkia leo na kushinda medali za Dhahabu, simu janja na vikombe vya uchezaji bora. Read More
Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) imesema kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kuimarisha mazingira bora na wezeshi kwa wawekezaji wa ndani na nje ya nchi, hatua inayolenga kukuza uchumi wa Taifa kupitia sekta mbalimbali, hususan sekta ya utalii. Read More
Msafara wa baiskeli wa Twende Butiama mwaka 2025 umeanza rasmi leo jijini Dar es Salaam, ukiwa na waendesha baiskeli zaidi ya 200 waliojitolea kushiriki safari hii ya kihistoria ya zaidi ya kilomita 1,500 kwa muda wa takribani siku 11 kutoka jijini Dar es Salaam mpaka mji wa Butiama. Read More
Kikosi cha Geita Queens kimefanikiwa kurejea tena katika Ligi Kuu ya Soka la Wanawake Tanzania kwa mara ya pili, kufuatia ushindi muhimu walioupata jijini Mwanza. Read More
Mwananyanza aliwataka wachezaji wa Simba kuacha visingizio visivyo na tija na kuelekeza nguvu zao katika mchezo, akisisitiza kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo hakuna sababu ya kuwa na hofu au kisingizio cha uwanja. Read More
Katika usiku wa kusisimua kwenye dimba la Emirates, kiungo wa kati wa Arsenal, Declan Rice, aling'ara kwa kufunga mabao mawili ya adhabu ndogo katika ushindi dhidi ya Real Madrid. Read More
Msanii maarufu wa sanaa ya uchekeshaji nchini Tanzania, Emmanuel Mathias almaarufu kama MC Pilipili, amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukumbwa na maswali mazito kuhusu hali ya ndoa yake. Read More
Mkoa wa Pwani umepokea kwa heshima ya kuteuliwa kuwa mwenyeji wa shughuli ya uzinduzi wa mbio za Mwenge unaotarajiwa kufanyika Aprili 2, 2025 katika Uwanja wa Shirika la Elimu Kibaha Read More