0 Comment
Shirikisho la Soka Afrika (CAF) Laipiga Faini TFF Dola 10,000 Kisa Hichi Shirikisho la Soka Afrika (CAF) limeitoza Shirikisho la Soka Tanzania TFF, faini ya Dola 10,000 (takriban Tsh. Milioni 25) kwa kuvunja masharti ya usalama na ulinzi yaliyoainishwa katika lbara ya 82 na 83 za Kanuni za Nidhamu za CAF pamoja na lbara ya... Read More






