0 Comment
-Asisitiza dhamira ya Serikali kuwainua wachimbaji wadogo kiuchumi -Mitambo Yagharimu shilingi bilioni 12.41 -STAMICO yasaini mkataba wa ushirikiano na VETA Dodoma, Katika mwendelezo hatua za Serikali kuendelea ya kuimarisha sekta ya wachimbaji wadogo nchini, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa, amezindua rasmi mitambo 10 ya uchorongaji kwa ajili ya wachimbaji... Read More