0 Comment
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy alisema Jumanne kwamba iwapo makubaliano ya kusitisha mapigano yatapitishwa na Urusi, “angalau askari 200,000 wa kulinda amani wa Ulaya” watahitaji kuwepo nchini Ukraine kuilinda nchi hiyo ya Ulaya Mashariki dhidi ya mashambulizi yanayoweza kufanywa na Urusi. Zelenskyy, akizungumza siku moja baada ya Donald Trump kurejea katika kiti cha urais wa... Read More