0 Comment
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Tume ya Usuluhishi na Uamuzi (CMA) kwa uanzishwaji wa Mfumo wa Uendeshaji na Usimamizi wa Mashauri kwa njia ya mtandao (Online Case Management System – OCMS) kwa wananchi. Pongezi hizo zimetolewa leo Januari 21, 2025 na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Fatma... Read More