0 Comment
Wizara ya Madini imefanikiwa kukusanya shilingi bilioni 521 katika kipindi cha Julai 1, 2024, hadi Desemba 31, 2024. Hii ni sawa na asilimia 52.2 ya lengo la kukusanya shilingi trilioni 1 kwa mwaka wa fedha 2024/25. Hayo yameelezwa na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, leo Januari 21, 2025, jijini Dodoma wakati akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji... Read More