0 Comment
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi imewataka wasimamizi wa uchaguzi walioteuliwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu kuhakikisha wanazingatia kwa kina Katiba, Sheria na Miongozo ya uchaguzi, sambamba na kuvishirikisha kikamilifu vyama vyote vya siasa vyenye usajili halali katika hatua zote za mchakato huo. Read More