Serikali za Tanzania na Misri kukuza ushirikiano wa kiuchumi kwa kuimarisha sekta ya usafirishaji, nishati, ujenzi wa miundombinu, uchukuzi, biashara na uwekezaji, kilimo, mifugo na uvuvi. Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amepokea Tuzo Maalum ya Kimataifa ya The Global Goalkeeper Award kutoka kwa Rais wa Kitengo cha Usawa wa Jinsia kutoka Taasisi ya Gates, Dkt. Anita Zaidi Jijini Dar es Salaam tarehe 04 Februari, 2025. Read More
Umati wa Wapalestina, ambao waliyakimbia makazi yao kutokana na vita vya miezi kadhaa, walianza kuelekea kaskazini mwa Ukanda wa Gaza siku ya Jumatatu. Read More
Rais wa Benki ya Dunia (WBG), Bw. Ajay Banga amewasili nchini mchana wa leo tarehe 26 Januari 2025, Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es Salaam, kwa ajili ya kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati ujulikanao kama “Mission 300”, utakaofanyika tarehe 27 hadi 28 Januari 2025 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. Read More
Serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) imepongezwa kwa ujenzi wa mradi wa Kituo mama cha gesi iliyoshindiliwa yaani Compressed Natural Gas (CNG) na Vituo vidogo viwili vya kupokea na kuhifadhi CNG kwa wateja wa awali. Read More