Katika kile kinachoonekana kama tukio lisilo la kawaida, jamii ya wakazi wa wilaya ya Geita imetikiswa na taarifa kuhusu mtoto aliyedaiwa kufariki na kuzikwa miaka kumi iliyopita, ambaye sasa ameonekana akiwa hai. Read More
Kikosi cha Geita Queens kimefanikiwa kurejea tena katika Ligi Kuu ya Soka la Wanawake Tanzania kwa mara ya pili, kufuatia ushindi muhimu walioupata jijini Mwanza. Read More
Mwananyanza aliwataka wachezaji wa Simba kuacha visingizio visivyo na tija na kuelekeza nguvu zao katika mchezo, akisisitiza kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, hivyo hakuna sababu ya kuwa na hofu au kisingizio cha uwanja. Read More
Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii wa Manispaa ya Geita, Bw. Robert Sugura, alilazimika kuitwa kutoa ufafanuzi kuhusiana na sakata hilo ameongea kuwa baadhi ya vikundi vilikosa mikopo hiyo kutokana na kutokamilisha vigezo vilivyowekwa, licha ya baadhi yao kudai kutuma maombi ndani ya muda. Read More
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awaongoza Watanzania kwenye maziko ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri Mkuu Mstaafu Hayati Mzee Cleopa David Msuya. Read More
Tathmini ya athari za Mradi wa Kupunguza Vifo vya Wajawazito unaofadhiliwa na Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeonesha mafanikio makubwa katika uboreshaji wa huduma za afya ya uzazi Tanzania Bara na Zanzibar. Read More
Binti Theresia anaelezea hisia zake kwa upole na heshima, akisema tukio hilo lilikuwa kama ndoto iliyotimia — "siku ya baraka ya kipekee ambayo haitasahaulika." Read More
Pasaka ni kipindi cha msamaha, upendo na kusameheana. Ni fursa ya kila mmoja wetu kutafakari maisha yake na kufanya maamuzi ya kuishi kwa kuzingatia haki, maadili na mshikamano wa kweli Read More