Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amesisitiza kuwa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa miguu wa Arusha utakamilika kwa wakati kama ilivyopangwa na kuwa tayari kwa michuano ya AFCON 2027. Akizungumza katika ziara ya kukagua maendeleo ya uwanja huo leo Agosti 29, 2024 Mhe.Ndumbaro amewahakikishia Watanzania kuwa ujenzi wa uwanja huo... Read More
Mhe. Dkt. Doto Biteko wakati akiwasilisha Mpango wa Tanzania katika Mkutano wa Pili wa Masuala ya Nishati ya Nyuklia (US-Africa Nuclear Energy Summit) Read More
Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha JUMUIYA ya Wanawake (UWT)Kibaha Mjini, Mkoani Pwani, imetoa wito kwa wanawake kuunga mkono jitihada za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuleta maendeleo na kuboresha huduma za kijamii, huku ikisifu juhudi zake za kuleta mapinduzi kwenye sekta za usafirishaji, uwekezaji, nishati safi na uwezeshaji kwa wanawake. Mbaraza kutoka UWT Mkoani Pwani, Mariam Ulega... Read More
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga (Kulia) akipata maelezo kuhusiana na maendeleo ya utekelezaji mradi wa Samia Arusha Afcon City kutoka kwa Kamishna wa Ardhi Msaidizi mkoa wa Arusha Geofrey Mwamsojo (wa nne kushoto) alipokwenda kukagua utekelezaji mradi huo tarehe 28 Agosti jijini Arusha. Na Munir Shemweta, WANMM... Read More
NA WILLIUM PAUL, DODOMA. VIJANA wa Chama cha Mapinduzi wametakiwa kutengeneza msingi imara katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za mitaa Novemba mwaka huu ili kuhakikisha Chama kinashinda kwa kishindo kwani ndio Dira ya kuelekea uchaguzi mkuu 2025. Kauli hiyo imetolewa na Afisa Mwandamizi UVCCM kutoka makao makuu, Kajoro Vyohoroka wakati alipokuwa akitoa semina ya kuelekea... Read More