0 Comment
WAZIRI RIDHIWANI AZINDUA BODI YA WADHAMINI YA NSSF *Aitaka Bodi kutekeleza majukumu kwa kuzingatia sheria, sera na miongozo inayotolewa na Serikali *Mkurugenzi Mkuu asema NSSF inatekeleza azma ya Rais Dkt. Samia ya kuongeza wigo wa hifadhi ya jamii kwa kuwafikia wananchi waliojiajiri Na MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu,... Read More