Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Benk ambaye pia ni mwanajumuiya wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) (Alumni) Abdulmajid Nsekela amempongeza Mkuu wa chuo hicho Profesa Josephat Lotto na timu yake kutokana na kubuni mikakati mbalimbali kwa ajili ya kuboresha elimu nchini. Nsekela ameyazungumza hayo wakati wa hafla ya chakula cha... Read More