Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Lunguya kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Dk.Yohana Msumba (kulia), akipokea Baiskeli kwa ajili ya kubebea wagonjwa kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Boart Longyear, Boniphace Mushongi wakati wa hafla fupi iliyofanyika mkoani humo juzi. KAMPUNI ya Boart Longyear inayofanya kazi na mgodi wa Barrick Bulyanhulu katika... Read More