Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi, akifungua kikao kazi kati ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Wanasheria pamoja na Mawakili wa Serikali kutoka idara na vitengo mbalimbali, leo, Desemba 6, 2024, jijini Dodoma. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Hamza Johari akizungumza katika kikao kazi kati ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa... Read More