-Kila wilaya kupata majiko 3,255 -Kilimanjaro wamshukuru Rais Samia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatarajia kusambaza jumla ya majiko ya gesi (LPG) ya kilo sita 19,530 yanayotolewa kwa bei ya ruzuku ya 50% Mkoani Kilimanjaro ikiwa ni utekelezaji wa Mkakati wa Taifa wa Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yameelezwa Novemba 6, 2024 na Meneja... Read More