Makamu Mkuu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof. Appolinary Kamuhabwa akitoa Hotuba yake katika Mahafali ya 18 ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili. (MUHAS) yaliyofanyika jijini Dar es Salaam Desemba 5, 2024. Mkuu Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili, Prof.David Mwakyusa akihudhurisha wahitimu katika Mahafali ya 18... Read More