Dkt. Yohana Msumba Ambae hajavaa kofia akipokea Baiskeli kwa ajili ya Kubebea Wagonjwa kutoka kwa Mwakilishi wa kampuni ya Boart Longyear. Wafanyakazi wa Boart Longyear katika picha ya pamoja kabla ya kukabidhi vifaa mbalimbali kwenye Kituo cha Afya Lunguya ………….. Kampuni ya Boart Longyear inayofanya kazi na mgodi wa Barrick Bulyanhulu katika kuadhimisha siku ya... Read More