Na Oscar Assenga,TANGA. KATIBU Mstaafu wa Baraza la Vijana wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Mkoa wa Tanga (Bavicha) Hemed Said amekana madai ya viongozi wa chama hicho ngazi ya wilaya wanaomtuhumu kukihujumu chama wakati wa uchaguzi wa Serikali za mitaa uliofanyika November 27, 2024. Tuhuma hizo dhidi yake zinadaiwa ni baada ya Said... Read More