Kulingana na Radio Marca iliripoti kwamba kocha wa Real Madrid Carlo Ancelotti amepokea ofa nzuri kutoka Saudi Arabia ambayo huenda ikamfanya kuondoka katika klabu hiyo ya kifalme mwishoni mwa msimu huu. Mkataba wa kocha huyo wa Italia Santiago Bernabeu umerefushwa hadi msimu wa joto wa 2026, na amesisitiza mara kwa mara kwamba hataki kuondoka Real... Read More