KLABU ya Simba imejikuta ikipokea maombi mengi ya makocha kutoka maeneo mbalimbali duniani baada ya kutangaza nafasi ya kuinoa timu hiyo kufuatia kuondoka kwa Dimitar Pantev. Taarifa zinaeleza kuwa jumla ya makocha 240 wamewasilisha maombi yao, jambo linaloonesha ukubwa wa jina na mvuto wa klabu hiyo kwenye ramani ya soka la Afrika. Katika idadi hiyo... Read More









