0 Comment
Usajili wa madaktari wa wanyama 120 umefutwa na Baraza la Veterinari Tanzania na majina yao yameondolewa kwenye rejesta ya madaktari hao kutokana na kutotimiza matakwa ya kisheria. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa hivi karibuni, na Ofisi ya Msajili wa baraza hilo madaktari hao wamefutwa katika kikao kilichofanyika Tarehe 23 Mwezi Desemba 2024, kufuatia baraza... Read More