Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo imetoa ziadi ya shilingi Milioni 500 kwa ajili ya kufanikisha Tamasha la 43 la Kimataifa la Utamaduni na Sanaa tarehe 23 Oktoba 2024, Chuo cha Sanaa Bagamoyo. Read More
Wikiendi hii wapinzani wakubwa hapa Tanzania wanamenyana kwenye Ligi Kuu ya NBC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa huku timu hizo zikitofautiana kwa pointi moja pekee. Read More
IKIWA ni Sehemu ya Ushiriki wa TIC katika tukio la kimkakati la LandRover Festival 2024 na adhimisho la Kumbukizi ya Kifo cha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa awamu ya kwanza na Mwasisi wa Taifa, Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) Kimeshiriki katika Zoezi la Upandaji miti katika eneo la viwanja vya Magereza Kisongo... Read More
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amejiandikisha katika daftari hilo Mtaa wa Mjimwema Manispaa ya Songea Read More
Tamasha linalosubiriwa kwa hamu la Samia Fashion Festival linatarajiwa kuzinduliwa, likiwaunganisha magwiji wa mavazi na utamaduni wa kiTanzania. Read More