0 Comment
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. George Simbachawene akizungumza wakati alipofanya ziara ya kikazi katika Mamlaka ya Serikali Mtandao (eGA) iliyolenga kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la ofisi hiyo jijini Dodoma. Mkurugenzi Mkuu, Mamlaka ya Serikali Mtandao (e-GA) Mhandisi Benedict Ndomba (wa sita kutoka kulia) akifafanua... Read More